Makapuku Forum

Makapuku Forum

They are my family when am with you..

There is no a complete family with no mother...

I will be so bored not seeing you, life will be so boring

Everything will be stacked, and you know that you can not ride a bike on one wheel..


Basikeli inahifaji matairi mawili ili iende..hawezi kwenda kwa tairi moja...

Kama tairi moja litatok inabidi tuiweke baiskeli stoo hadi lile tairi lingine lipatikane...

Sakayo wewe ni tairi la mbele ! Mimi ni tairi la nyuma..
It's lunch time my hubby
 
Sisi wapenz washangiliaji wa mapenz yenu ngoja tukae mita 200. Tusije ona wivu bure
Naaanza kutoa husia;

Mondray

Ulikuja kutoka fesibuku.., nikakupokea kwa mikono miwili mimi na kina bitoz, shunie, lee na wengine weeeengi..

Nafurahi niliweza kukumold vizuri hadi sasa hivi umekaa kwenye njia nzuri

Kuna traits zangu unazo sasa..! So nimeacha alama hapa jukwaani..

Ushike sana falsafa ya Makupuku..

Makapuku ni kimbilio la underground..make it makapuku always..! Kila mtu awe na haki sawa! Kila mtu aheshimiwe, kila mtu apate like, mwenye stress atolewe stress

Umlinde mdogo wako nyagei pia..mtu asimsumbue.


Mwisho uishi na kila kapuku kama nilivyoishi na wewe...

HASTA LUEGO Mondray..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom