Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ngoja maneno yatamtokeaa puanAthantee kwa ushauri big bro.
Tuko pamoja jana leo,kesho na kesho kutwa
Ngoja maneno yatamtokeaa puanAthantee kwa ushauri big bro.
Tuko pamoja jana leo,kesho na kesho kutwa
Walai umejitafutia mwenyeweunanitafutia sbbu ya kunipa talaka
Bora iwe mirungi akitoka mwambie amfate tHahaha
Acha mirungi wewe
Hebu ucheke tuuhahahhhh lee ananichekesha mpk tumbo linauma
Mmh nilikua natania bana we uwaga unasemaje kuhusu kapuku au unajisahaulishaWalai umejitafutia mwenyewe
Ifike pahala lee na sakayo watofautishwe
Nakumbuka saaanahahahhhh dada unakumbuka jana ulivyonipigia simu ipo busy ukaniambia hivi lee anajua simu ipo busy![]()
Ndo utajua kati ya lee na transcend Nan mme halaliumeanza mambo yako
HahahaWalai umejitafutia mwenyewe
Ifike pahala lee na sakayo watofautishwe
HahahaBora iwe mirungi akitoka mwambie amfate t
Mm ntajiongezaa nikishindwa kuzoea
Utanii gani huo wa kurushana rohoMmh nilikua natania bana we uwaga unasemaje kuhusu kapuku au unajisahaulisha
kujiongeza tena weeh usinitafutie life ban humu kwa huyo utakaejiongeza nae akae mbaliBora iwe mirungi akitoka mwambie amfate t
Mm ntajiongezaa nikishindwa kuzoea
Hili sio povuHahaha
Punguza povu shem
hahahhh yaishe bas baby utani tuNdo utajua kati ya lee na transcend Nan mme halali
nilikua nataka nikuone tu babyUtanii gani huo wa kurushana roho
mm siwezi tokaHili sio povu
Sasa mkitoka mm na transcend tutaishije
HahahaNdo utajua kati ya lee na transcend Nan mme halali
Weewe aliyekufundisha kuvuta bangi kakosea ameanza na stage ya 4 badala ya kwanzakujiongeza tena weeh usinitafutie life ban humu kwa huyo utakaejiongeza nae akae mbali
Nshasema sitoki tena!!Hili sio povu
Sasa mkitoka mm na transcend tutaishije