Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
mmhNitawamiss sana!
Am disconnecting the keyboard too .
mmhNitawamiss sana!
Am disconnecting the keyboard too .
Hamna shida mbona mdogo wangu.eb ngoja kwanza tutayaongea wenyewe nn shida
Dada lia nikuoneT wa mie, laazizi, roho mkalia ini wangu!!!!
Don't do that, please!!!
Nilikukuta humu, usinifanye nilie sa hizi. Sitaki nikuweke mbali na familia yako my hubby
HubbyNitawamiss sana!
Am disconnecting the keyboard too .
nashindwa ata la kuongeaNdio mamy wangu.
Nitawamiss mnoo
Hamkufwiii Jamaniiiitutakufwaa
yaan utanifanya na mm nipotee humuHamna shida mbona mdogo wangu.
Nimewaza nikaona ni left in peace
week unaona nyingi mwenyewe acha nianze kupotea ili nizoeeHamkufwiii Jamaniiii
Bado nipo wiki nzima, kuanzia leo
They are my family when am with you..T wa mie, laazizi, roho mkalia ini wangu!!!!
Don't do that, please!!!
Nilikukuta humu, usinifanye nilie sa hizi. Sitaki nikuweke mbali na familia yako my hubby
HeeeDada lia nikuone
Naam mama wa vatoto vangu..!Hubby
tupo vyema za kwakoMpo vyema humu
Daaaahyaan utanifanya na mm nipotee humu
aiseeThey are my family when am with you..
There is no a complete family with no mother...
I will be so bored not seeing you, life will be so boring
Everything will be stacked, and you know that you can not ride a bike on one wheel..
Basikeli inahifaji matairi mawili ili iende..hawezi kwenda kwa tairi moja...
Kama tairi moja litatok inabidi tuiweke baiskeli stoo hadi lile tairi lingine lipatikane...
Sakayo wewe ni tairi la mbele ! Mimi ni tairi la nyuma..
umenivuruga ujue akili si yanguHeee
We niwakuniambia hivyo mdogo wangu???
Nani kakusaidia kujibu
Tupo vibaya mno...Mpo vyema humu
Ongea lolote mupenzinashindwa ata la kuongea
Usiondoke my dearweek unaona nyingi mwenyewe acha nianze kupotea ili nizoee