Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Tafuta padri umuulizeSijaelewaa sister kivip
Tafuta padri umuulizeSijaelewaa sister kivip
We Umejuaje kama Lee hatakufwalee wangu nitamuachia nan hapana dada kwahilo siwezi
utani mwingine ujue haufai usinifanyie hivyoUende wapi!!!
Yaani kweli nina mpango huo
hahahahh usiseme hivyoWe Umejuaje kama Lee hatakufwa
Unataka utoke?Wozap niliunstall mdogo wangu, mitandao inatumia muda saana, zaidi ya jf sina mtandao mwingine wa kijamii na huku nataka nitoke pia
Baby usiwape siri zetu za ushindi..Oooh
Hebu mbebe leo umpeleke bafuni, halafu kesho unipe mrejesho
Hivi dada yako anataka kututoa roho mimi na wewe kwa pamoja..?utani mwingine ujue haufai usinifanyie hivyo
My Prince, Usijali nitarudi jamani!!!Unataka utoke?
Kadi ya njano hii tayari
Anataka awe mtawa !Sijaelewaa sister kivip
Mdogo wangu ataachika jamaniBaby usiwape siri zetu za ushindi..
Three yearsMy Prince, Usijali nitarudi jamani!!!
Wala Usijali kabisaa, after three years I will be back my handsome wa mie




Mamyutani mwingine ujue haufai usinifanyie hivyo
Unatoka lini?Mamy
Usijali nitarejea
YapThree years![]()
Mwisho wa mwezi huu mboni yanguUnatoka lini?
Sio kirahisi hivyoo?Mdogo wangu ataachika jamani
Amen mummysante mama mchungaji ubarikiwe na ww pia
Why are you doing this?Yap
Nitarejea kwa kweli
AsanteAMENI Kapuku mwenzetu na ww pia
Huo si urafiki ni kuachana nae kabisa bila majadiliano.Wamechafukwa sana.
Inawezekana vipi rafiki yako aje kwako usiku kisha aingie chumbani kwako bila ruhusa Utamfanyaje?