Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aisee hiyo lafudhi nimeimiss
Kama hizi:

Ni gani arfu?

Uko mukide chalii?

Ni full -mzuka eroo!

Nina arosto na weed kinyamaaa!

Acha mambo zako za old-skuli basi arifu..

Tafuta kibunda eroo acha kuleta shazi..

Mimi sianyi bamzi yaani! Hebu nitoe korocksi ya 400 hapo chaap..

[emoji41][emoji41] chuga slangs kwa hisani ya emmyta
 
Back
Top Bottom