Makapuku Forum

Makapuku Forum

938df13759841e624359c4bdd5901aa7.jpg
ed21f552d3f4f380dd797268aec2c446.jpg
4b58c0f0b4fc12cd1a6640cd383f3a53.jpg
Na bado maji safi na salama ni kitendawili kufikia watu wote.
 
Huyu bashite kafika mwisho naskiliza clouds waandishi wa habari walikua na mkutano wao wamekubaliana wote wasiandike habari zake zozote wala kurusha kwenye tv naiona tanzania mpya
Umekunywaa omo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Unaangaliaa tv wapi hivi hujaenda kinondonii ??

Uzalendo umenishinda
 
Back
Top Bottom