Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Aisee hiyo lafudhi nimeimissKabisa aisee.
Aisee hiyo lafudhi nimeimissKabisa aisee.
Hahaaa! Akaribie tuuu tutamfundisha pole pole..sorry mkuu umeandika nn
Be humble! Mgeni huyo bhnaa..Mbona huelewekiii unajiquote
Ndio mkuu ita. Hapa kuna kuna area of investmentTuitee kikosi kaziii??
Pita kule nilimwaga Nondoz..hahahahh kufurahisha genge tu siku hizi hakuna mambo ya kungata kucha
Halafu imenakshiwa na maneno fulani hivi ameizingHiyo avatar nilijua tu itawatoa mate watu humu![]()
mm sio baby wakeWewe huyo, mbona hukwenda kumtoa mdogo wangu sasa
Umeyakumbushaa wewewewe una nn lkn hayo yametoka wapi
SitakiNtakutaftia wa kuform nae bond
Basi msijal....suluhisho limekaribia, wooote ntawataftia matulizo ya mioyo yenuSisi ndio team single
Shem mbona anajua!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Mdogo wako mbona humfundishi
lee plzShunie akusimulie kilichotokea
Wajinga wengi kule
Siingii mmu shemPita kule nilimwaga Nondoz..
Akhaaaaaaaahhahahhhh mbona unajishtukia
Jamani huyu mtoto Sakayo ni mkarimu mpaka naumwaaaaa....It's teatime my handsome!!! Karibu ila Usiache kuja na shemeji zangu


SitakiiiiBasi msijal....suluhisho limekaribia, wooote ntawataftia matulizo ya mioyo yenu
nilikua naongea na Transcend na ckleyUmeyakumbushaa wewe