Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ila hakuna kesiiihahahhh Dada kweli nimeamini unanipenda aisee shukrani kwa baby nae

Ila hakuna kesiiihahahhh Dada kweli nimeamini unanipenda aisee shukrani kwa baby nae

Nilijuaaa humuachiisorry mkuu umeandika nn
wewe una nn lkn hayo yametoka wapiWajingaaa wale kule ipo Siku yao
Mihogo ipoMigebuka yenyewe karibia miezi 6 sijaiona
Basi kwa huku kapukuHana![]()
Jamaniiii, wewe tu ndo mdogo wangu!! Naanzaje kukuchukia kwa mfano, Nakupenda mpaka najionea wivuhahahhh Dada kweli nimeamini unanipenda aisee shukrani kwa baby nae
patamu sana shemela uje tu uingieAahaa! Patamu eeh?
Hiyo ndio kabisa ninasiku sijaiitua mdomoni.Mihogo ipo
It's teatime my handsome!!! Karibu ila Usiache kuja na shemeji zangu
hahahhhh mbona unajishtukiaIla hakuna kesiii![]()
![]()
![]()
hahahhhhhNilijuaaa humuachii
Alikula ban jana asubuhi hivi..kule mmuMlipewa Ban WAP huko jaman
Wewe huyo, mbona hukwenda kumtoa mdogo wangu sasaWeeeeeeeeeee!
Mimi nitavamia ofisi za jf kabisa..
Mwache wampe na yeye ban. ....wajanja wakuchkuewewe una nn lkn hayo yametoka wapi
Tuitee kikosi kaziii??Wako!!!!!
Ulimuumba ww??
Kwan yy hana mwingine??
Mtag tumuone
Sisi ndio team singleHao ndo teamsingle?
Baby ww si hutaki waje kututembea naanzaje mm![]()
![]()
![]()
![]()
Mdogo wako mbona humfundishi
Ntakutaftia wa kuform nae bondBasi kwa huku kapuku
Njoo tuform Bond
HabariHiiii nipo sm ndo nilikuea sn