Makapuku Forum

Amen
 
ata mm pia imenishinda nilishakua na acc yake

Ata mimi naona ngumu kweli kutumia...
Mtandao pekee ninaopost na kuutumia zaidi ni hapa JF

FB na insta nina akaunti lakini huwa sipost,kulike wala kushare chochote zaidi ya kusoma ishu mbalimbali mfano habari michezo n.k....watu ambao kwa siku wanapost mipicha yao kutwa mara 7 huwa nawaacha tu kwenye friend list ila siwafollow a.k.a nawaunfollow

WhatsApp nipo group la ukoo pekee tena huwa nauchuna zaidi

Natumia GB WhatsApp hivyo nafichaga hadi tick ili wajinga wanaotuma meseji za kipuuzi niwe nauchuna huku wao wakifikiri sina bando maana wanaona tock 1 pekee na status huwa sibadili mwaka mzima , picha ni mara mojamoja

Twitter,Viber, badoo n.k situmii kabisa japo simu ilikuja na app ya twitter lakini nimeiondoa
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…