Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1989 - Joldi Alba anazaliwa.
Full back wa kushoto wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania.
1989 - Joldi Alba anazaliwa.
Full back wa kushoto wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania.
Nilipitiwa mkuuUshalala dogo..!
Teh tehYeye mwenyewe komando
Sema ana reli badala ya nyota
Kesho nikipata time tumpeleke mmu... kisiwa cha mabinti..
Wanaume wengine wakiamkia makapuku wanaiata majina mawili...
La kwanza baby
La pili shemela..
Sasa yeye anaita hilo la pili tuu...
Mondray fanya mchakato
![]()

Uwiiii my ribsAnapokea wageni tuu..![]()
Mara akiwapokea anakuta ni dume kama werrason..
C'mon buddyLeo kanifurahisha aiseee.
Ailikua anamsaundisha madame S daah ngachoka.
Sound za enzi za wakina charlie chaplin
1991 - Antoine Griezmann anazaliwa.
Staa wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa.
Moja kati ya wachezaji wenye vipaji vikubwa wanaotamba katika La Liga.
AmenWapendwa Makapuku naamini Mungu amewaamsha salama sifa, utukufu ,heshima na shukurani ni kwake aliye juu,haijalishi unapitia changamoto gani namwomba Mungu aingilie kati ,wanaogua na kuuguza Mungu awaponye ,wanaotafuta kazi na riziki Mungu awasaidie mpate kazi na riziki maisha yawe ya amani na upendo ...nawatakia siku njema yenye baraka na amani ...Amen
Nadhani walitumia neno la kisanaa kugawa ila lengo lao lilikuwa ni kugawamaLeo Katika Historia:
1871 - Otto Von Bismarck anachaguliwa kuwa Kansela wa Ujerumani.
Kansela huyu baadae anakuja kuitisha kikao cha Berlin ambacho Mataifa makubwa yanakutana kwa ajili ya kuligawa bara la Afrika.
Aisee1871 - Mpelelezi Henry Morton Stanley anaanza kazi yake kumtafuta mpelelezi David Livingstone aliyepotea barani Africa.
David Livingstone alikuja kupatikana Zambia akiwa amefariki kwa ugonjwa wa Malaria.
Nimeiona picha ya lilivyo bara kumbe walishalifanyia utafiti before kugawana![]()
![]()
![]()
Divide and rule
...
Wanashindwa sababu wameathiriwa na Facebook2006 - Mtandao wa Kijamii wa Twitter waanzishwa rasmi huko San Fransisco, Jijini California nchini Marekani.
Ni moja kati ya mitandao yenye habari za haraka na watumiaji wengi.
Pamoja na kutimiza miaka 11 bado watu wengi wanashindwa kutumia mtandao huo.
ata mm pia imenishinda nilishakua na acc yake
Mtandao pekee ninaopost na kuutumia zaidi ni hapa JFAta mimi naona ngumu kweli kutumia...
2013 - Chinua Achebe anafariki Dunia.
Ni mwanafasihi mashuhuri katika bara la Afrika kutoka ncji ya Nigeria.
Baadhi ya kazi zake ni pamoja na Things Fall a Part, A man of the people, No Longer at Ease.
Wanipenda kweliNimekuja![]()
Hapo naunga mkonyo hoja- International Colour Day
Ni siku ya kimataifa ya rangi. Inasemekana wanaume wengi hawafahamu vizuri rangi.