Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yeye mwenyewe komando
Sema ana reli badala ya nyota
Kesho nikipata time tumpeleke mmu... kisiwa cha mabinti..

Wanaume wengine wakiamkia makapuku wanaiata majina mawili...

La kwanza baby

La pili shemela..

Sasa yeye anaita hilo la pili tuu...

[emoji23][emoji23][emoji23] Mondray fanya mchakato

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo macho mida ya wanga ...

Ila sory kapuku sitoweza kuleta magazeti alfajir kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu ila shaka ondoa na mwenye kusaidia afanye hivo ..

Shunie take care na mashemeji zako [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Wapendwa Makapuku naamini Mungu amewaamsha salama sifa, utukufu ,heshima na shukurani ni kwake aliye juu,haijalishi unapitia changamoto gani namwomba Mungu aingilie kati ,wanaogua na kuuguza Mungu awaponye ,wanaotafuta kazi na riziki Mungu awasaidie mpate kazi na riziki maisha yawe ya amani na upendo ...nawatakia siku njema yenye baraka na amani ...Amen
 
Back
Top Bottom