Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ahsante sana mkuu kwa historia iliyoshibaLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
Ahsante sana mkuu kwa historia iliyoshibaLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
Swali gani tena hilo?Wanipenda kweli
Haina mbwembwe ni nzuri katika breaking news za fasta fasta![]()
Hata mm situmii![]()
....
Wapotezee watu wakule hapa ndio nyumbani.Swali gani tena hilo?
Nnavyokupenda ndo maana kakua kama mjinga!
Na ushahidi wote kua uko na Joana bado nakung'ang'ania.
Interesting mkuuMtandao pekee ninaopost na kuutumia zaidi ni hapa JF
FB na insta nina akaunti lakini huwa sipost,kulike wala kushare chochote zaidi ya kusoma ishu mbalimbali mfano habari michezo n.k....watu ambao kwa siku wanapost mipicha yao kutwa mara 7 huwa nawaacha tu kwenye friend list ila siwafollow a.k.a nawaunfollow
WhatsApp nipo group la ukoo pekee tena huwa nauchuna zaidi
Natumia GB hivyo nafichaga hadi tick ili wajinga wanaotuma meseji za kipuuzi niwe nauchuna huku wao wakifikiri sina banco maana wanaona tock 1 pekee na status huwa sibadili mwaka mzima , picha ni mara mojamoja
Twitter,Viber, bado n.k situmii kabisa japo simu ilikuja na app ya twitter lakini nimeiondoa
.....
Nisamehe sweetyWapotezee watu wakule hapa ndio nyumbani.
Halafu usiwe unaniacha pekee angu hapa nakumis
Nimekusamehe baby.Nisamehe sweety
Mimi nipo mwaka wa 6 sasa.![]()
Hata mm situmii![]()
....
SikuachiNimekusamehe baby.
Hope hutaniacha pekee angu hapa
Yap mkuu Bitoz, labda akina Ozil ndio angalau wamebadilika lakini bahati mbaya kazaliwa nyakati za Messi na Ronaldo.![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe wachezaji wengi Wa Kijerumani wanaisikia Ballon d'or kwenye bomba nahisi kutokana tu na soka la shoka walilokuwa wanacheza
....
Aliwakatisha viuno Terry na Calvahro![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakumbuka goli lake v Chelsea
...
Pamoja sana.shukran mussolin na kwako pia
Niruhusu niingie chumbani mwako..Sikuachi
Snapchat nimeshindwa kujua wanatumiaje.Mtandao pekee ninaopost na kuutumia zaidi ni hapa JF
FB na insta nina akaunti lakini huwa sipost,kulike wala kushare chochote zaidi ya kusoma ishu mbalimbali mfano habari michezo n.k....watu ambao kwa siku wanapost mipicha yao kutwa mara 7 huwa nawaacha tu kwenye friend list ila siwafollow a.k.a nawaunfollow
WhatsApp nipo group la ukoo pekee tena huwa nauchuna zaidi
Natumia GB hivyo nafichaga hadi tick ili wajinga wanaotuma meseji za kipuuzi niwe nauchuna huku wao wakifikiri sina banco maana wanaona tock 1 pekee na status huwa sibadili mwaka mzima , picha ni mara mojamoja
Twitter,Viber, bado n.k situmii kabisa japo simu ilikuja na app ya twitter lakini nimeiondoa
.....
Ni tatizo sugu kwetuHapo naunga mkonyo hoja
Pamoja mkuuAhsante sana mkuu kwa historia iliyoshiba
Huitaji ruhusa love!!Niruhusu niingie chumbani mwako..
Tubonge
Penda sana papryHuitaji ruhusa love!!
Ninakuzidi mwaka mmoja mkuuMimi nipo mwaka wa 6 sasa.
Hapana yule kajitakia mwenyewe asiipate hiyo tuzo kwa kujipeleka kwa Wenger, sina kumbukumbu ya Wenger kumpa motisha mchezaji wake aingie hata top 3Yap mkuu Bitoz, labda akina Ozil ndio angalau wamebadilika lakini bahati mbaya kazaliwa nyakati za Messi na Ronaldo.