Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Penda zaidi wewe my MondrayPenda sana papry
Penda zaidi wewe my MondrayPenda sana papry
Hapo kwenye hiyo snap chat uko sawa hata mimi sielewi kabisaSnapchat nimeshindwa kujua wanatumiaje.
FB na Insta nipo ila maskani yangu ni hapa JF.
Soon tunatangaza couple yetu kule MMU ili wasikufuatiliePenda zaidi wewe my Mondray
Nadhani ni kwa jinsi tulivyoumbwa Sir God hakutumia mbwembwe kutuumba tofauti na wenzetu kwamba watolewe kwetu sijui wafinyangwe na nini ndio maana ikawa hivyo.Ni tatizo sugu kwetu
Mucho graciousPamoja mkuu
Kutangaza tenaSoon tunatangaza couple yetu kule MMU ili wasikufuatilie

Acha wivu jooh
Kama hujapenda tunapotezea eehKutangaza tena![]()
![]()
![]()
![]()
Hata mirandao mingine nazipata fasta km kawaHaina mbwembwe ni nzuri katika breaking news za fasta fasta
Labda unawafuatilia kina Donald trumpMimi nipo mwaka wa 6 sasa.
Huyo hata siifahamu kabisa naisikia tuSnapchat nimeshindwa kujua wanatumiaje.
FB na Insta nipo ila maskani yangu ni hapa JF.
Asante shunie kwa magazetimorning kwa niaba ya baby nawaletea magazeti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimekuwa surprised sio wivuAcha wivu jooh
Yes kwa sasa news zinapatikana kwa urahisi kwenye hiyo mitandao mingineHata mirandao mingine nazipata fasta km kawa
![]()
![]()
![]()
....
Ahaa utakua surprised more than thisNimekuwa surprised sio wivu
Wazima mkuu karibuWakuu nawasalimia ,hope nyote mu-wazima
Mkuu hatu-quote magazetiAsante shunie kwa magazeti
sawa mkuu siku nyingine usiquote magazeti yote comment tuAsante shunie kwa magazeti