Daima binadamu husema kilichojaa moyoni mwake lakini Mungu anamajibu :
Mithali 16:1-.maandalizi ya moyo ni ya mwanadamu ,na jibu la ulimi hutoka kwa Mungu....2 Matendo ya mwanadamu huonekana kuwa sawa machoni pake lakini Mwenyezi Mungu hupima nia ya mtu.....4 Mwenyezi-Mungu ameumba kila kitu kwa kusudi lake ,hata waovu kwa ajili ya siku ya maangamizi..
PROVERB 16:1-2The preparation of the heart belongs to man But the answer of the tongue is from the LORD....