Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
1982 - Tomasz Kuszczak anazaliwa.
Kipa wa zamani wa Man Utd, Watford, Birmingham City na timu ya taifa ya Poland.
Ametwaa mataji manne ya EPL, Uefa champions league mwaka 2008 akiwa Man Utd kama golikipa wa akiba akimsaidia Edwin Van Der Sar.

inasemekana alipigwa misumari na Drogba