Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kauli ya namba moja Tanzania...Watanzania tumejikita sana kwenye Maswala ya umbea, ambayo hayatupunguzii njaa, hayatupunguzii umaskini, hayatupunguzii matatizo ya elimu.
Mnajisumbua na vipost vyenu, kana kwamba mnanipangia mimi, mimi sipangiwi tena ukinipangia ndio kabisa naacha, mimi ndio Rais hakuna wa kunipangia cha kufanya, nilipoenda kuchukua form hakuna alienipangia
Hakuna wakunipangia nani nimuweke wapi, mimi ndo napanga fulani anakaa wapi, kwahiyo "Makonda" wewe chapa kazi,Chaps kaziii na hapa kazi tu... achana na hayo yanayosemwa kwenye mitandao ww piga kazi tu... Hapa kazi tu! Hakuna wa kunionyesha mimi njia ya kupita, chama changu cha CCM kilishanionyesha njia!
Rais JPM jumatatu Machi 20.2017

