Makapuku Forum

Makapuku Forum

unaonaje ungeanzisha thread mmu tukaja huko mana mtu mzima yeyote hamna asiyejua mambo haya

kaanzishe thread mmu tutakuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkaribishe kwanza alafu kafikisha 144k

Aneeeweeiiii umeelewaa lakini [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] najua lazima umfate thread
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkaribishe kwanza alafu kafikisha week

Aneeeweeiiii umeelewaa lakini [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] najua lazima umfate thread
hahahhah ata sijui kama ana week nimejua tu mtu katoka alipotoka kaja na mada yake ya shanga

mada yake nzr inataka nafas aende mmu tukaijadili
 
Back
Top Bottom