Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Morning le mukongo, maombezi vipi?Goodmorning watu wa Mungu
Morning le mukongo, maombezi vipi?Goodmorning watu wa Mungu
hapana mjomba, sijaviamkia, sema vyenyewe ndo vimeamka na mimi baada ya kusikia tangazo la serikali na vinajua kabisa mpwao ni mlipa kodi maarufu.
BTW, ukiulizwa hiyo chupa ni ya nini na BH tafadhari sema ni tiba ya kipandauso, nisije nikakosa mambo mazuri na uabrikio

Bhinamu tena jitahid BH tumpate
Mm mpaka mpeleka posa mkongo ashanizunguka ,danjaboy yumo ,usser yumo ,nyangei nk

Hahaaaa umesahau hivi vichwa aisee.
Lee empire
Transcend
Bailly5 Obe danja boy
Ni hatar thana hao mm naiga

Nipo vzr hata lasaba nilifaulu hivyohivyo
hukukopi na namba ya uliekuwa unamchabo???Morning mkuu nadhan wikendi yako iko bomba huku ukiwa na mm mchungaji pembeniMorning Mondray
Leo saa tisa alasiri kanisani kwetuMorning le mukongo, maombezi vipi?
Mhuu sikua tahila kiasi hicho mkuu![]()
hukukopi na namba ya uliekuwa unamchabo???
Uzuri wake sio kama bwakila![]()
hukukopi na namba ya uliekuwa unamchabo???
Shemela wangu una vitukoSio ndege ni bombadia/pipa/mchuma wa anagani/ kibombobombo
Umuweke shemela kwenye maombi ili kale kapepo katowekee bahariniLeo saa tisa alasiri kanisani kwetu
Kawaida sana shem ndo nilivyoShemela wangu una vituko
Haya shemKawaida sana shem ndo nilivyo
Huku ni kwema shem vipi pande hizo hukoJamani kwema hapaaa
Huku kwema shem nasubir matokea ya TLS nkasherehekee basiHuku ni kwema shem vipi pande hizo huko
Morning lee mushengaGoodmorning watu wa Mungu
Amekusahau wewe
InakuhumaaaMorning mkuu nadhan wikendi yako iko bomba huku ukiwa na mm mchungaji pembeni