Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaaaaa!Ila nikishinda majaribu ya shunie ntaimba utukufu
Hahahaaaaaa!Ila nikishinda majaribu ya shunie ntaimba utukufu
Morning jooutani kando mjomba, una majribu kwa aunt yaani hata Bahati Bukuku haoni ndani, yaani ukianzia kwa kina SHIMBA YA BUYENZE ,Transcend , Mondray, Ray van Boy , werrason , e2n list ni ndefu sana.
Ukiyashinda nitamuomba BH aongeze na mapambio
Hahahaaaa!Wakuu za asubuhi humu,shunie umeamkaje my dear
Morning kisheti wetuMorning the big family
Kwa hilo tu usijali ntamwambia kabisa mbona yule tunamvuta gheto soon ..muhimu kirikuu chetu kijae mafuta tukienda kumpokea
Alafu bhinamu ukiulizwa na aunt yako mwambie Leo nakusindikiza ...kale kapromis ni leo

Dadeq jooh kisa cha mm kua kishetiMorning kisheti wetu
Huko sipoBhinamu tena jitahid BH tumpate
Mm mpaka mpeleka posa mkongo ashanizunguka ,danjaboy yumo ,usser yumo ,nyangei nk
Morning mkuuMorning family...
Morning TranscendMorning family...
Yaani humu wewe ni midfielder kisheti jinsi unavyoweza kuona mbali (totoz)Dadeq jooh kisa cha mm kua kisheti
Hahaaaa umesahau hivi vichwa aisee.Yaani humu wewe ni midfielder kisheti jinsi unavyoweza kuona mbali (totoz)
Basi uko vizuri sana kwenye kukopiHahaaaa umesahau hivi vichwa aisee.
Lee empire
Transcend
Bailly5 Obe danja boy
Ni hatar thana hao mm naiga
Nipo vzr hata lasaba nilifaulu hivyohivyoBasi uko vizuri sana kwenye kukopi
Kipaji mubashara hichoNipo vzr hata lasaba nilifaulu hivyohivyo
KabisaaYaani humu wewe ni midfielder kisheti jinsi unavyoweza kuona mbali (totoz)
Morning MondrayMorning the big family