Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hahahahhhhIle kitu hakiitaji majaribio ,catalyst mojaa amaizing![]()
![]()
![]()
hahahahhhhIle kitu hakiitaji majaribio ,catalyst mojaa amaizing![]()
![]()
![]()
yaan wwSinaa maaanaaa hiyo
Ni mawazo yakoo
Nimeelewa ila hata mie nakupenda sana shuniekaka mm ni mkewe wa ndoa nampenda sna mume wangu hapo utakua umeelewa
Hey shunie umeamkaje my dearhahahhhh watu wamepata visingizio baby
asanteNimeelewa ila hata mie nakupenda sana shunie
Ww hata ukivaa dela shunie you are still no. 1mmh usiniambie na hii nitoe mana haionyeshi paja wala mguu nguo ya heshima
Kawaida tu mzeeMkuu unapiga Tikila..?
Leo katika Historia:
1969 - Golda Meir anakuwa Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Israel.
Tikila!! Kwani hataki kulewa?Mkuu unapiga Tikila..?
Tena si ndogoDaah! Yaani shunie katoa avatar kali karudisha kali...
Bado lee ana kazi...
1970 - Sakata la My Lai Massacre nchi ya Marekani yawachukulia hatua za kinidhamu Wanajeshi wake 14 waliohusika katika mauaji hayo.
Katika sakata hilo Wananchi wa Vietnam wasio na hatia waliuwawa zaidi ya 400.