Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Hiyo mechi ni kukamilisha ratiba tu ilishakufa 1st legNawaona Genk wanaendeleza ubaya kwa Gent
Kuniomba aniombe mwenyewe kwenda ukweni, nikajitoa kwa hali na mali, nikaacha biashala zangu leo unanitemea mbovu!!!werrason hafai baby utavuka tu
Af lizziebettie umemnyang'anya smatifoni kwanini???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ahahaha naona kila mtu ana mwenza wake humu
kwa nn msalitiKuniomba aniombe mwenyewe kwenda ukweni, nikajitoa kwa hali na mali, nikaacha biashala zangu leo unanitemea mbovu!!!
Umeona mambo ya mata?hahahhh lee nimecheka kwa sauti kama chizi eb niache baba
Mkuu unapiga Tikila..?Napunguza stress za Bashite si mnajua viroba vimepigwa marufuku![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Nimependa pasi ya ibra kuliko goli..Tukitolewa ni aibu
Ule uwanja wao km shamba la mpunga umefungiwa kule Russia
....
Hamia airtel mkuumakapuku isimame iwakilishe jamii yote bila ubaguzi



Daah! Yaani shunie katoa avatar kali karudisha kali...kwa nn msaliti
Loooooooh kazi ipoo mkuuDaah! Yaani shunie katoa avatar kali karudisha kali...
Bado lee ana kazi...
Nimeziona hizo taarifa.Tukitolewa ni aibu
Ule uwanja wao km shamba la mpunga umefungiwa kule Russia
....