Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
AsanteeeHabarini za usiku? Mlio masingo nawatakia njozi njema. Mlio katika ndoa nawatakia kazi njema!
AsanteeeHabarini za usiku? Mlio masingo nawatakia njozi njema. Mlio katika ndoa nawatakia kazi njema!
Weee jamaaa nimekupigania hapa unanigeuka? Lets form an alliance...Tenaaa??
Babay njoo huku...Sawa shem
Tunafananaa nayeee sanaa,,, ukimuona yeye jua umenionaa mmLazima ujue kwanza
Baby bado sijatandika kitanda jamaniiiiHehehe
Nilikuja tu kuwasalimu humu jamani, Shunie na mashemeji nimefurahi kuwa nanyi. Muwe na Usiku mwema. Love you all, but I love my Shunie more

Yaaaaaan simple and clearhahhahahhhaa ukifika unajimalizia tu
sio kwa huyoMbona unakuwa kama sijawasaidia kina na lee..
Make it happen bhanaa
nawe pia dada love u bigHehehe
Nilikuja tu kuwasalimu humu jamani, Shunie na mashemeji nimefurahi kuwa nanyi. Muwe na Usiku mwema. Love you all, but I love my Shunie more

Nampendaaaaaaaa bhnaaaaaa!sio kwa huyo
Yaaaaaan simple and clear
Bilaa wasiwasiiii chaa Kwanzaa faster na furious 8

hivi kwenye mapenzi si kuna kukubaliwa na kukataliwa mbona ww unaforceNampendaaaaaaaa bhnaaaaaa!

Wewe mtoto kuwa na adabu![]()
Mzee akikuwekaa ndan utanifahamu,,,,, tu
No madame!hivi kwenye mapenzi si kuna kukubaliwa na kukataliwa mbona ww unaforce![]()

HumpatiiUsiombe uvurugwe! Ila sakayo nampenda buuuuuuure
Ahaaaaaaaah ningelimpata wapiii??No madame!
Am just expressing ! Baba yako angekubali kukataliwa unafikiri ungekuwepo leo...![]()
hivi lkn ww si una mtu wakoNo madame!
Am just expressing ! Baba yako angekubali kukataliwa unafikiri ungekuwepo leo...![]()
Umekuwa aidui tena! Mimi nataka tuweke heshima kwenye ukoo wa kina shunie afu unakuwa kigeu geu tana mkuu...Humpatii
JE WAJUA? ?
Leonardo da vince alikua ana chora kwa mkono mmoja na mwingine anaandika kwa wakati mmoja
Vinci