Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Daahsimpi we si unaonaga usumbufu ninaopata
Ndio mapenzi hayo mdogo wangu
Daahsimpi we si unaonaga usumbufu ninaopata
Asante mkuu id yangu kama inavyojionyesha hapo juu ni single kabisa kijana mtaratibu nisiye na makekeMkuuu karibu sana jisikie uko home
Ila jitambulishe wapo vijana wasione I'd mpya
Msamehe jamani, shemu nakuombaNakushtakiii kwa wote
Mkuuu mbona kasi yako ya moyo???Wee binti upo na huku,si nilikuacha kwa baradhuli mwenye mikono ya chuma haaah haaah
Jamaniiiiii jamaaaaaaniiii hivi shunie ni wa kila mgeni humuuTena ww shunie tumetoka mbali sana usianiache,toka kwa monica,mke wa rais,vipepeo,peniela,baradhuli yaani nyingi kwa kweli mpaka sasa,una moyo sana wa kusoma riwaya mbalimbali halafu naona tunaendana ulipo ww nami nipo😀
Usifanye hivyo baby ake mdogo wangu, we ndo mume wake hao wengine wanamtamani tuuAkirudiaa namtundikaa komeo
Chezaa na woteee sio shunieAsante mkuu id yangu kama inavyojionyesha hapo juu ni single kabisa kijana mtaratibu nisiye na makeke
Huyu binti kwa kweli kwa asilimia 90 kanileta ndo maana nimeamua kumfollow tu,nampenda bure mie kila uzi yupo na michango yake inaelewekaMkuuu mbona kasi yako ya moyo???
Shunie ndo kakuletaa??
Tetemeko la Shuniekupatwa dada
Shemuu nimesemajeee jioneee nilivo na mtihani mwambie danjaboy aachee bangiiTetemeko la Shunie
Shuniee huyu wangu au ??? Kuwa siliasiiHuyu binti kwa kweli kwa asilimia 90 kanileta ndo maana nimeamua kumfollow tu,nampenda bure mie kila uzi yupo na michango yake inaeleweka
Nachokkaaaa sio kwa preshaaUsifanye hivyo baby ake mdogo wangu, we ndo mume wake hao wengine wanamtamani tuu
Mpaka shunie atoe tamko mkuu,in short nampenda huyu dada sasa kama ni mkeo wa ndoa sina jinsi ila kama na ww unafukuza mwingi haina jinsi mwenye kisu kikali ndo atakaemchukua.Chezaa na woteee sio shunie
Inshort ni wangu
Tena ww shunie tumetoka mbali sana usianiache,toka kwa monica,mke wa rais,vipepeo,peniela,baradhuli yaani nyingi kwa kweli mpaka sasa,una moyo sana wa kusoma riwaya mbalimbali halafu naona tunaendana ulipo ww nami nipo😀

Mkuuu mbona umekujaa na kasi ya ajabu ....utani mwingine haufaiiMpaka shunie atoe tamko mkuu,in short nampenda huyu dada sasa kama ni mkeo wa ndoa sina jinsi ila kama na ww unafukuza mwingi haina jinsi mwenye kisu kikali ndo atakaemchukua.
Teh tehMkuuu karibu sana jisikie uko home
Ila jitambulishe wapo vijana wasione I'd mpya
Mkuu utani kivipiMkuuu mbona umekujaa na kasi ya ajabu ....utani mwingine haufaii
Shunie ebu njoo bhanaaaaah
Ya mwaka janaWee binti upo na huku,si nilikuacha kwa baradhuli mwenye mikono ya chuma haaah haaah
Inaamaaana wewe na shunie mnajuanaa??Mkuu utani kivipi