Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Shunie leo werrason amesema kuna kapepo unako afu unabisha...Mmh mbona mm sikujui


Shunie leo werrason amesema kuna kapepo unako afu unabisha...Mmh mbona mm sikujui


DuhJe Wajua
Neno la mwisho la Jack Daniel kabla ya kufa lilikua
"One more drink please"
Pole![]()
![]()
hivi majaribu gani napitiaa
kazii ninayooHehehe
Hahahaaa! Hii forum bhanaa! Mna nini na dada wa watu jamaniimm nipo kwa ajili ya kumuuguza lee tu
Kabadili id huyoooMmh mbona mm sikujui
YaaniDada umeniambia nimekua mpole mpk kwako
UnafurahiaHahahaaaaaa!
Kumbe nawe umeipitia mkuu.Ya mwaka jana
Hahahaaa!Inaamaaana wewe na shunie mnajuanaa??
Niko bomba jooohJoooh!
Are you alright?
Umepona sasa?Niko bomba joooh
Sijui wewe
kazii ninayoo
Huyo ni hatari sanaJE WAJUA??
Bruce lee ndie mtu pekee ambae alikua anaweza kupiga ngumi karatasi ambalo linaning'inia na kulitoboa katikati
Binti tafadhali tafadhali waumiza moyo wangumm nipo kwa ajili ya kumuuguza lee tu
Sasa hv tumbo loko bomba labda mabegaUmepona sasa?