Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nakujuaaa ukiamuaa mbona atakubari mamaaah na unavompendaaa wewe mwambie mapema mm yule rafiki yetu wa carina namtumiaa ya mafuta Leo mnaingia kama waziri wa mipango ....

Bhinamu alafu pale Buku nimeiacha kwa meza sijui imedondokaa apo ndani ?? Ukiipata nitumie mpesa

mmmmh, sijui kama nitaiona, kuna panyabuku humu anapenda kutafuna hela utadhani TRA/BOT. Labda kwa kusaidia utafutaji hebu ongeza buku kumi nikanunue dawa ya panya tumuue, irushe mapema kwa mpesa, weka na ya kutolea
 
Itapatikana kweliii???

Mim natumaaa ile inayoaanzaa na 07
 
Jamani ni sawa kushikishana mabango namna hii hata kama ni mtuhumiwa wa uhalifu? Nasema kuwa ni mtuhumiwa kwa sababu bado kosa lake halijathibitishwa mahakamani. Na ni makosa gani ukiyatenda ndo unashikishwa bango namna hii?Bongo vituko haviishi haki ya nani!
65f02357d9025ef1ade87b02c5c4f184.jpg
Utawala wa kisheria. . . very funny!! kila kitu hadi kithibitishwe mahakamani. . .
May be it could be a good way . . . kama mtu. . . ni kweli sugu inaweza ikawa njia ya kum discipline,
Kuliko wale wanao jipa mamlaka ya kuua wenzao.!!! I hate that. . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom