Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mtu hataishi kwa mkate tuuAmini aminiii nakwambieni
Mtu hataishi kwa mkate tuuAmini aminiii nakwambieni
Mileleee aminaaaàaMtu hataishi kwa mkate tuu
Mdogo wako ndo ananipitisha wakati mgumu
Mwambiee avae nguo ndefuMileleee aminaaaàa
Mdogo wako mashemeji wanamsumbuaa
Anawamiss tena, kivipi Yaani....Ongeaa nae vizuri.anawamis mashemeji zake mpaka anaumwa
Point Leo umeongeaMwambiee avae nguo ndefu
Mpaka anaumwaa etiiAnawamiss tena, kivipi Yaani....
Shunie hebu ukuje
hahahahh baby eb acha mambo yakoNawahiiiii ila kadompo nakapitia apo supermarket make Leo shughuli unaijuaa mwenyewee
hahahhah we binamu wwMbona unaguna kama umepishana na mtu kajipaka mafuta ya YU
![]()
hahahh sio uchochezi mbona mm huniulizi nimeshindaje jana si unajua nilikwambia ninavyojiskiaHahahaha
Hivi unajua wewe ni mchochezi
Baby jamaanMashemejii washaanza undugu na manfongo
Mkanye mdogo wakoo
hahhahahmmmmh, sijui kama nitaiona, kuna panyabuku humu anapenda kutafuna hela utadhani TRA/BOT. Labda kwa kusaidia utafutaji hebu ongeza buku kumi nikanunue dawa ya panya tumuue, irushe mapema kwa mpesa, weka na ya kutolea
mzoee dada ndio ndg yako nimeshanasa kama ww ulivyonasa kwa babuDaah
Siamimi ninachokisoma
Ndo nakaribiaahahahahh baby eb acha mambo yako
Uongo kwaniiBaby jamaan
Dada unanijua mmAnajua saaana huyu, wala sio wa kukanywa.
Hebu muamini
baby si yameishaOngeaa nae vizuri.anawamis mashemeji zake mpaka anaumwa
shikamoo kaka kubwaMko poa humu!