Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
huku nyumbani dada we usiponiona kote ukija huku utanionaYaani nilijua huku sikukosi
huku nyumbani dada we usiponiona kote ukija huku utanionaYaani nilijua huku sikukosi
nikaombewe nn na wkt sina pepoHahaaaaaaa! Nenda kwa bishop ngajima
Kuna mtu kasema mimi nachepuka?kweli baby sio mchepukaji sema ya yule aliyemsema Transcend sijui nan
nikaombewe nn na wkt sina pepo
Najua hilo mkuuusifanye hivyo kila mtu na imani yake
ww si ndio ulisema baby wangu ana mtuKuna mtu kasema mimi nachepuka?
hilo pepo la kuachana lishindwe mm na lee, lee na mm...anamaanisha kuwa kwa kuwa maombi hayachagui, wapo wanaoenda kuombewa waoe, waolewe kwa kuwa wewe una sizo nilizotaja basi naamini anataka uombewe mjomba angu lee empire muachane.
Yaani nilijua huku sikukosi
Mmeanza uchoyo
UtatusameheeMmeanza uchoyo
Yupiiii tenaaa ??kweli baby sio mchepukaji sema ya yule aliyemsema Transcend sijui nan
Alee kwaketeh teh
hilo pepo la kuachana lishindwe mm na lee, lee na mm
Transcend si alimtaja hapa jina nimesahauYupiiii tenaaa ??
hahahahNo offense, jina lako linanikumbusha miondoko ya sakayonsa. Me ni mgeni pia
Baby acha uchoyo ndg yangu huyo ujueAlee kwake
hahahhahah binamu yake mtuHa hahahha, ingekuwa ijumaa siku ninayotupiaga safari moja mbili tatu nne ningesema nyie ni kama chupi na tako. Tatizo sijalewa so sitosema
Bhinamuuu boraa umekujaaa...anamaanisha kuwa kwa kuwa maombi hayachagui, wapo wanaoenda kuombewa waoe, waolewe kwa kuwa wewe una sizo nilizotaja basi naamini anataka uombewe mjomba angu lee empire muachane.