Maisha ni changamoto ujue.hahahahh msukuma ww ban inipite tu na hao wanaopewa life ban aisee mpk ufungue I'd nyingine
Relax aiseeMpuuzi tu huyo analindwa na Sizonje ila tusubiri Binge tuone nalo km litamzima
...
mm najiepusha sana na hao watu nikishaona ananivuruga simjibu na kutoka kwenye uo uzi natoka kabisaMaisha ni changamoto ujue.
Kupigwa ban JF changamoto pia.
Humu kuna watu wa aina nyingi sana. Mwingine anakuchokoza tu. Mwishowe unaishia ban.
Nashukuru sijawahi pata ban mpaka sasa
labda bunge litatusaidia, maana inakatisha tamaa ndugu zetu waliotumbuliwa wanaumi sana..Mpuuzi tu huyo analindwa na Sizonje ila tusubiri Binge tuone nalo km litamzima
...
Samtaimu kuna mambo yanaboa sana nchi hiiRelax aisee
TRUE TRUE TRUE ubarikiwe na kizazi chako
Unafanya vizuri sana hivyo. Ni kuwaepuka tumm najiepusha sana na hao watu nikishaona ananivuruga simjibu na kutoka kwenye uo uzi natoka kabisa
Af wewe! Me sishabikii manyau!!!wetu na ww, na mussolin, na Transcend bila kumsahau na Lee pia
Hii nchi kuna mengi ni kero sanaSamtaimu kuna mambo yanaboa sana nchi hii
....
Nipo bibie, sema misele mingimukongo umepotea
Mambo siyo shwari ndugu Sizonje anazidi kuota pembe anatishia majaji na sasa hivi wabunge wakati kwa nchi zilizoendelea Rais ni takataka tu mbele ya bunge na mahakamalabda bunge litatusaidia, maana inakatisha tamaa ndugu zetu waliotumbuliwa wanaumi sana..
lee aliniambia upo man uAf wewe! Me sishabikii manyau!!!
Me mzima, sijui wewe mwenzangu!Njema mzima?ubarikiwe
sawa mukongo nilikumiss mpk naumwaNipo bibie, sema misele mingi
Pole ndugu, unaendeleaje? Shida nini?Wakuu niko hoi balaaa
Toka asubuhi sijaamka kabisa
simuelewi ujue
Mfano ni Jukwaa la PolifixUnafanya vizuri sana hivyo. Ni kuwaepuka tu
Kule noma sana. Ban nje nje kule aisee. Maana kuna watu wanakera sanaMfano ni Jukwaa la Polifix
Kuna pipo zinaitwa Lumumba buku 7 zinaudhi hadi unajiuliza hivi hawa wanaishi Masaki? Ni watoto Wa vigogo? Maana wanapost upumbavu tu kila kitu ki nachohusu nchi/serikali/Ccm kwao ni OK tu
......
Mwongo me nashabikia nyu kaso!!!lee aliniambia upo man u