Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Aksante kwa magazeti ndugu lee empire
1493 - Christopher Columbas anarudi zake Hispania mara baada ya kufanya safari yake ya kwanza Marekani.
Obrigado leeTuwe na Siku njema wakùu ...tukagufurike vyema
1892 - Klabu ya Liverpool yaanzishwa.
Ni klabu ya pili kwa mafanikio katika Nchi ya Uingereza nyuma ya Man Utd.
Wapinzani wao wakuu ni Everton Fc ambao wanapatikana katika kitongoji cha Merseyside.
Mara yao ya mwisho kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu England ilikuwa mwaka 1990.
Baadhi ya magwiji waliochezea timu hiyo ni Kenny Dalglish, Roy Evans, MacManaman, Robbie Fowler, Steven Gerrard, Luis Suarez, Xabi Alonso, Jamie Carragher nk
Pamoja mkuuMorning kapukuz...
Lee asante kwa magazeti..
Mossolin5 asante kwa historia!
Nawatakia siku njema wakuu
aisee mahaba yote yale lady jaydee na mnigeria wake wamemwagana kazi ipoUdaku![]()
![]()
![]()
![]()
sante kwa magazetiTuwe na Siku njema wakùu ...tukagufurike vyema
1906 - Kampuni ya magari ya Rolls Royce yaanzishwa.
Ni kampuni ya magari ya kifahari kutoka nchini Uingereza.
Pogba wetu1993 - Paul Pogba anazaliwa.
Ni kiungo wa kati wa Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ndiye mchezaji ghali zaidi duniani kwasasa mara baada ya uhamisho wake wa Pauni 89 milioni kutoka Juventus kwenda Man Utd.
1990 - Mikhail Gorbachev anachaguliwa kuwa Rais wa kwanza wa Soviet Union.
Kimeo chetu, homa ya kupanda na kushuka.Pogba wetu