Kazi wapi ...Nimepiga kazi ya kutosha mkuu.
Ila duuh hizo zimenitamanisha kwakweli
Kazi wapi ...
Tuwe na Siku njema wakùu ...tukagufurike vyema
Sema jana kule nilichomeshwaahindi...ndoto nyevu mjomba, vijana hawa usiwachukulie siriazi
Sema jana kule nilichomeshwaahindi
Morning mkuuMorningz the kapuku familiz. Hope you are doing well
Morning brooMorning mkuu
Kulee kijiweni niliweka mwenye link ya if loving you is wrong sijapata fanya kunitumia mkuuMorning broo
Kijiweni wap?Kulee kijiweni niliweka mwenye link ya if loving you is wrong sijapata fanya kunitumia mkuu
Mkuu kule seriesKijiweni wap?
Mbona kama ni ishu mpya hiyo sijaiona
Aiseee yaani sio ni bichwa langu. Yaani siwlewi kabisa. Kwanza series ndio wapMkuu kule series
Punguzaa viroba...series special thread...entertainmentAiseee yaani sio ni bichwa langu. Yaani siwlewi kabisa. Kwanza series ndio wap