Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Napata mashakasina mm
Napata mashakasina mm
Usisemee mengi lakini Leo ....alisema mondray anapenda wanawake weupe anaponda wanawake weusi n wkt yy mweusi

Ulichonacho ndo nakipendaaa sanaasina mm
Unajua siku moja moja viroba vinasaidia sanaNyongeza
"Hawezi kujichubua"
Alisema kujipodoa hawez ...wewe wapende hao weupeUtani tu. Ilikua nu thread inayohusu Pirot mwanamke sasa wakawa wanamsifia kua ni mzuri. Mm na daby tukawa tunapinga
Kuzoeana sana mwisho cv zishukee noooopbado haujamzoea tu lee siku zote
Mkuu upo eeh? Mlete na PRONDO hapa...Hiyo maana yake nini?
Mbona yy nilikua namkuta anaongea na watu mambo ya hivyo ila nikawa nachuniaAlisema kujipodoa hawez ...wewe wapende hao weupe
PoleeeNooo tulikua vzr ila yy mwenyewe kaamua kunipotezea labda anko Q kafanya yake
Kiki yako sijaipendaaaa...unataka kuninyanganya my cheupe ??Lee ananichukia shem mpoze.
Hadi naanza kushindwa kuingia humu
Ahaaaaaaaah ndo ulimkosaaaMbona yy nilikua namkuta anaongea na watu mambo ya hivyo ila nikawa nachunia
Paprika njooo huku! We are missing you.Kumbe jimbo liko wazi ni muda muafaka huu
Kumbe ulimuelewaaNyongeza
"Hawezi kujichubua"
Yap tenaaNapata mashaka
Daah! Sijui mkuu..labda kesho kwenye je wajua linaweza kupata jibu...Walikuwa wanatengeneza sana sandwich nini?
Sidhani kama ataweza aiseeMkuu upo eeh? Mlete na PRONDO hapa...
Mkuu unapenda vitu vya hivi.. eeh?Chura ni ziada tu kama mwanaume kamili


Swali mubasharaaaaKwani bado unampenda Paprika?