Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Tunasema mvua ya buku 10 hiiza mvua nzr kwetu leo ndio imemwagika
Tunasema mvua ya buku 10 hiiza mvua nzr kwetu leo ndio imemwagika
Hahahaa! Pole jooh!Ulijua sitokujuaa...ulikuja na gear ya kumpata shunie![]()
![]()
![]()
![]()
Badilisha Avatar kwanza utamtisha shemela Shunie hapend kabisa hzo pichaNaomba usajili wa Chama la Makapuku
Hiyo imembamba joohHahahaa! Pole jooh!
Kiasi chake bosiMkuu unapenda vitu vya hivi.. eeh?
![]()
Karibu mkuu!Naomba usajili wa Chama la Makapuku
Hahaaaaa! Amevua zile element za makapuku?Sidhani kama ataweza aisee
HahaaaaBadilisha Avatar kwanza utamtisha shemela Shunie hapend kabisa hzo picha
Muhimu usirudiee ....tumekusameheLEE & SHUNIEE
Maomba mnisamehe kama nilikosea rafiki zangu ilikua tu sehem ya utani tu nisameheni sana.
Siriazi naanza kupata hofu kuingia humu maana naona nimewakosea marafiki zangu.
Soriii sana jamani
Yule hakuwa kabisa. Sema jamaa yuko poaHahaaaaa! Amevua zile element za makapuku?
Karibu sanaNaomba usajili wa Chama la Makapuku
Mmh basi sawaMkuu unapenda vitu vya hivi.. eeh?
![]()
Karibu mkuu!
Hapa tunapeana mawazo juu ya changamoto za maisha!
Tunashare utani na vitu vingine vingi kuhusu maisha...!
Heshima ni kitu muhimu kwa members wote humu! No grades! Wote tu sawa...
Karibu sana
Thanx joooohMuhimu usirudiee ....tumekusamehe
Nitakuwepo baadaye kule jukwaani kwa ajili ya pre-match discussion..Yule hakuwa kabisa. Sema jamaa yuko poa


Ahsante mkuuKaribu sana
Salamu zitafika. Mimi ni mtu wa picha picha kuleNitakuwepo baadaye kule jukwaani kwa ajili ya pre-match discussion..
Msalimie Rutta..![]()
Mada yoyote rukusa! Isipokuwa zile zinazovunja sheria za Jamiiforum..Ahsante sana mkuu... ni mada gani hujadiliwa na makapuku au chochote?
Najua...! Wewe ni bavaria...Salamu zitafika. Mimi ni mtu wa picha picha kule
Kuna mdada humu ila now haji sana huku anaitwa Madame S nimempenda sio siriSalamu zitafika. Mimi ni mtu wa picha picha kule