Naskia ni kibaraka wa USA![]()
![]()
![]()
Aliniboa alipokubali serikali ya mseto wakati uchaguzi alishinda halafu akafanyiwa figisu
Waafrika hatujitambui
...
Morning ,asante nimekuelewa mkuuMorning Mama Mchungaji.....tafadhali usi-quote magazeti, tena mengi hivyo, bora lingekuwa 1-2
Njema umeamkaje mkuuHabarini za Asubuhi wapendwa
Njema umeamkaje mkuuHabarini za Asubuhi wapendwa
Nawe pia mkuu Mussolin5 ,siku njema ubarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema, na maandalizi mema ya Wikendi.
Thanks God Its Friday. TGIF
Ndo maana walichangia kwenye figisu za kumuondoa FIFA baada ya kuunganisha nguvu na WamarekaniHakika ni dikteta wa soka, Waingereza wanaamini walinyimwa kuandaa Kombe la Dunia la mwaka 2018 kwa fitna na hila za Blatter.
Sometime YES ,sometime NONaskia ni kibaraka wa USA
My role model huyu, alikua binge la hb ila matendo duu
role-model wako kivipi yani?Niko Poa sanaNjema umeamkaje mkuu
Merci bo...Niko Poa sana
Napenda alivyokua anajiamini, master mind, mbabe etc.role-model wako kivipi yani?
.....killing, hatred,.....Napenda alivyokua anajiamini, master mind, mbabe etc.

HakikaJeuri ikamponza.
Inasemekana ICC ni kwa ajili ya Africans leadersLakini huwa hachukuliwi hatua yoyote.
Mauaji aliyofanya George Bush akiwa Rais ni mengi lakini U.N imekaa kimya. Who cares?
Angekuwa ni kiongozi wa Kiafrika saa hizi yupo ICC.