Acha tu mkuu ,kuna mfanyabiashara kajiua Dodoma wamekamata mzigo wake wa viroba wa pesa nyingii,kashindwa kuvumilia so sad,na baltika zilivyojaa wengi tutawapoteza ....
Zinatoka abroad na wanaoingiza si unajua ni vigowgow!!!.....kuna mfanyabiasha Dom kajipiga risasa sababu ya mzigo wake wa thamani ya 1billion kukutwa store!!!