Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
JE WAJUAAA?Hey Guyz ninatoka kidogo but after 20 mins am back. Lee usiondoke kama kuna nondo unazo tupia. Nikirudi tuendelee
ww una haki ya kufanyiwa hivyo sikutetei ata kidogo ww unataka kumtafutia lee mwanamkeShunie mwambie Clkey aache kufanya anavyofanya ...
mmhDaah! Respect your woman na wewe. Sasa![]()
Kaka Mussolini5..!Uko vizuri
Utani ule shemeji yangu! Kweli mimi wa kukufanyia hivyo...?ww una haki ya kufanyiwa hivyo sikutetei ata kidogo ww unataka kumtafutia lee mwanamke
Unaguna nini sasa! Clkey anazingua balaa kisa Eufa Champions
azingue tu hakuna namna yupo na johnson wanakula rahaUnaguna nini sasa! Clkey anazingua balaa kisa Eufa Champions
Eeeeh! Wee ujue nitafunga mtu mimi..azingue tu hakuna namna yupo na johnson wanakula raha
I see safi sanaJE WAJUA??
Akiwa na mika 5 Ayan Quresh alifaulu mtihani wa Microsoft IT Technician
Anastahili pongeziJE WAJUA??
Bendera ya sasa ya USA ili designiwa na mwanafunzi Mwenye miaka 17. Alipata B- Kwenye project yake
Hahahaha jamani umenikumbusha mbali sana hapo unaongeza na madebe na makopo ya mafuta ya kupikia matupu, yakilia paaa wote mmeamka hata kama panya kapita...![]()
Aiseeee mimi nalala sitaki usumbufu
nimecheka sana leo ..makapuku forum Rahaaaaaaa
Thank you BlessedHopeFine thank you,Happy women's day to you too Be Blessed
NimekaribiaKaribu dear
Tupo mkuuMbona pame poa humu
hafungwi mtu acha watu wale raha we upo zako zambia ukoEeeeh! Wee ujue nitafunga mtu mimi..
Maneno huumba jitahidi kuongea visivyoumiza.anataka kukutaftia baby mwingine
AsanteThanks Mama Mchungaji.....Amen
Kuwavna siku zote zilizobaki peke yenu..siku za wanaume dunianiKuweza nini?