Makapuku Forum

Ni mawazo yangu na ninaheshimu ya kwako pia...mimi siwezi kufurahia kifo cha mtu
 
Binadamu tunatofautiana hisia ndio maana wengine mnaogopa kuingia mochwari wakati wengine tunachukulia kaeaida tu

........
Kweli Mkuu ila utaogopa kama hujawahi fiwa Mkuu lakini kunawakati woga unaishaaa!Na mochuari utaingia tu.unapoendelea kuishi hakika unakutana Na mengi Na unajifunza mengi mnoo,Ubarikiwe Mkuu Bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…