Makapuku Forum


Ni km akina Xhaka
....
 

Huyo pimbi ni demu wake
......
 
Wapendwa Kapuku Forum Naamini mko salama Mungu anazidi kuwatetea,nawatakia kila la heri wiki hii ,mkumbuke kwamba tumo safarini tunahitaji nguvu Na nguvu hutoka kwa Mungu tumuombe Mungu atupe hekima katika maisha yetu ya kila siku,wale wagonjwa poleni Mungu awaponye,wenye changamoto zozote Mungu aonekane kwenu,Na wale waliotutangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani...Mungu awabariki sana .
 
ameen mama mchungaji ubarikiwe nawe pia
 
Aminia Mkuu!

Uwe na wiki njema pia
 
I see Ila.kifo kinaumiza,hata wale wanaoteswa Na waume mume akifariki wanalia hadi wanazimia wanasema Bora angeendelea kuishi..huwa nashangaaa. Huwa hatuombei mtu afe tu Mungu atatoa hukumu mwenyewe

R.I.P. JOHN F KENNEDY
Sio kweli
Wapo wengi tu uhuzunika kinafiki...siyo kila kifo cha mtu kinahuzunisha mfano kuna misiba mingi huwa hainiumi na hata kuzika nazika huku moyoni nikiwa na furaha....
.Hivyo hata kifo chako au changu hakiwezi kuhuzunisha wala kuumiza watu wote ndiyo maana kuna usemi wa Kufa kufaana
.....
 
Na wote tuseme AMEN
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…