Makapuku Forum

Yaani Nimeenda Kuchota maji bombani nikakuta wamama kibao wamejazana bombani na ndoo zao kibao Alaf mimi nina haraka zangu

Ikabidi nitumie plan....Nikawaambia Kuna Ng'ombe Amegongwa gari pale barabarani kina mama wenzenu wanagawana nyama
Wote Wakatoka mbio kuelekea huko barabaran sasa badala mimi nichote maji cha ajabu eti na mimi nikakimbia kuwafata maana jinsi walivyokimbia mpaka na mimi nikazani Kuna Nyama Kweli


SASA HII NI BANGI AU???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…