Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sad info ...

Katika mchezo wa la Liga BBVA...
Atletico Madrid dhide ya Depotivo.... Fernando Tores aliruka juu kuokoa mpira wa kona na kwa bahati mbaya akagongana na mchezaji wa Depotivo na wakati anatua chini alitanguliza chini sehemu kubwa ya kichwa na kusababisha kumeza ulimi wake...... Shukrani ziwaendee wachezaji waliokuwa karibu na kumuwahi haraka haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.

Mpaka Leo asubuhi anaendelea vyema na ame Twitte kuwashukuru wote walio mtumia meseji..... Uwanja ulijawa na simanzi kwa pande zote mbili...... Kweli mpira sio vita.

Get well soon and recover quickly El Niño.
8e9d783229907f8703effd737e113cf1.jpg
Nimesisimuka mwili mzima duu pole sana
 
Habari wakuu nahisi mtakua mnaendelea vizur
Kwakua wote humu ndani ni kama familia moja basi tunapaswa kugawana kile kidogo tunacho kifahamu, kusema hivyo leo rasmi nitaanza makala itakayokua inahusu JE WAJUA ili tuweze kufahamishana vile tusivyojua au kukumbushana yale tunayojua. Pia kutakua na makala ya PHOBIA ili kila mmoja afahamu ni aina gani ya phobia aliyo nayo. Naombeni ushirikiano wenu pia mnikosoe pale nitakapo kosea .
Ahsante soon nitaanza kuporomosha vitu
 
Mkuu pamoja sana ....tuletee mambo
 
Safi mkuu
 
Ndio mkuu ,na ni vizuri waliona mapema kuwa ulimi unajikunja wakajitahid kuukunjua na kuuvuta

Mbali na hapo ingekuwa story nyingine ila credit kwa wachezaji walijitahidI sana
Wachezaji Ulaya na ligi zingine kubwa wamefundishwa First Aid kumbuka mchezaji ndo mtu aliye karibu zaidi na tukio uwanjani kuliko daktari wa timu
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom