Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hahahhh acha nicheke tu kimyakimya kuna kaukweliWomen are very funny creatures.They hate it when you ask them their Age but will kill you when you forget their Birthday.
hahahhh acha nicheke tu kimyakimya kuna kaukweliWomen are very funny creatures.They hate it when you ask them their Age but will kill you when you forget their Birthday.
Ahsante mkuu
Situmii kilevi chochote wala sigara mkuu na sitawahi nitumie
Mkuu Alcohol na sigara haviwez kupita kwanguHujapata hela tu, kuna vilevi vina majina mazuri kama njia ya Paradiso
Tanzania ya Vi-wonder
Pamoja sana kiongoziAsante Mkuu Bitoz kwa habari katika picha barikiwa
birthday na age ni tofauti bana...
Tunaficha Age kuogopa kuoneka vizee
Sa unakuta mdada wa miaka 35 anashughulikia mpaka anaonekana kama kibinti cha miaka 22... Unadhani amwambia umri wake kijana wa miaka 25 au 29? Akikwambia utakimbia. Wengi mnatoka na wadada waliowazidi umri![]()
Acheni hizo bhana
.....

Muonekano wa mtu ndio muhimu sio umriSa unakuta mdada wa miaka 35 anashughulikia mpaka anaonekana kama kibinti cha miaka 22... Unadhani amwambia umri wake kijana wa miaka 25 au 29? Akikwambia utakimbia. Wengi mnatoka na wadada waliowazidi umri![]()
Ndo ivyo... Basi hamna haja ya sisi kuwaambia umri.Muonekano wa mtu ndio muhimu sio umri
......
Umenikumbusha jambo hapo, ni kweli kuna wadada wanajitunza hatari wanavyojiweka ni kama ana 25 kumbe yuko over 35.Sa unakuta mdada wa miaka 35 anashughulikia mpaka anaonekana kama kibinti cha miaka 22... Unadhani amwambia umri wake kijana wa miaka 25 au 29? Akikwambia utakimbia. Wengi mnatoka na wadada waliowazidi umri![]()
Pole mkuu!!!Umenikumbusha jambo hapo, ni kweli kuna wadada wanajitunza hatari wanavyojiweka ni kama ana 25 kumbe yuko over 35.
Nilidate na mwanamke kumbe kanizidi 10yrs pia tayari ana two kids hapo tu nikawa mpole nikajitoa mdogo mdogo tu
Ahsante mkuuPole mkuu!!!
Pole ya nini?Pole mkuu!!!

Alisepa baana ya kugundua age differencePole ya nini?![]()
Alisepa baana ya kugundua age difference