Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
2013 - Papa Benedict wa 16 anajiuzulu wadhifa huo na kuwa papa wa kwanza kufanya hivyo toka mwaka 1415.
Bwana Yesu asifiwe Mama Mchungaji.Heloooo
Wawege wanatuachiaga tuwakandamize ili tusing'owage maviti-in sukuma accent![]()
Kipanya kanishinda tabia
Leo katika Historia:
1940 - Mechi ya mpira wa kikapu ( Basketball ) yarushwa mubashara kwa mara ya kwanza.
- Ni siku ya mafundi cherehani duniani.
leo siku ya wapiga Kiduku!!!Merci PapaaLeo katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
1957 - Watu zaidi ya 50,000 wauwawa baada ya kufanya maandamano dhidi ya serikali huko Taiwan.
Ni moja kati ya mauaji ya halaiki makubwa kuwahi kutekelezwa na serikali.
Tukio hilo hujilikana kama February 28 incident
1954 - Televisheni za kwanza za rangi zilizokuwa zinatumia mfumo wa NTSC zaanza kuuzwa.
1986 - Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme anauwawa.
Alikuwa na mkewe wanatoka Cinema na kurudi Nyumbani majira ya usiku, akatokea mtu asiyejulikana kwa nyuma akamshambulia Waziri Mkuu kwa risasi na kutoweka.
Mpaka leo haijulikani ni nani alimuua Waziri Mkuu huyo aliuekuwa kipenzi cha Wanyonge.
1991 - Vita ya Ghuba ya kwanza yamalizika.
Ilikuwa ni vita baina ya Marekani na Iraq.
2013 - Papa Benedict wa 16 anajiuzulu wadhifa huo na kuwa papa wa kwanza kufanya hivyo toka mwaka 1415.
1942 - Dino Zoff anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Italy.
Alichukua kombe la dunia mwaka 1982 akiwa na Italy na kuwa ndio mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kubeba taji hilo.
Anatajwa kama mmoja kati ya magolikipa hodari wa wakati wote.
Golikipa wa sasa wa Juventus na Italy, Gigi Biluffon anafananidhwa sana na Dino Zoff.
Leo katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
Hakukuwa na uelewano baina ya Matip na Lucas kama mabeki wa kati, muda mwingi Mignolet alikuwa anajilinda mwenyewe na kama sio ubora wa gloves zake Liverpool alikuwa anaondoka na dhwahma kubwa pale alipoondoka Claudio Rainier na heshima yake.Habarini za asubuhi Makapuku
![]()