Makapuku Forum

Makapuku Forum

Udaku ...
914bd69900e220bf3f22c001de738b3a.jpg
1cada89c1332ae1e2272de999c365b30.jpg
e588955e3ff38fb28c7328f71189b8f4.jpg
9709e8b0785e416577cc5c1fda959ebc.jpg
Asante sana kwa magazeti Lee Ubarikiwe
 
Kumbukumbu nzuri asante
Shemu gwajima anakuonaa

Hakukuwa na uelewano baina ya Matip na Lucas kama mabeki wa kati, muda mwingi Mignolet alikuwa anajilinda mwenyewe na kama sio ubora wa gloves zake Liverpool alikuwa anaondoka na dhwahma kubwa pale alipoondoka Claudio Rainier na heshima yake.

Kukosekana kwa Hendo pia katika kiungo kulipoteza umakini sana kwa kiungo cha Liverpool dhide ya Drinkwater na Ndindi pale katikati...... Aina ya viungo wakiokuwepo ni attacking minded(offensive)....

Ifike mahala sasa Klopp aanze kutumia pure #9 aachane na kutumia mshambuliaji wa uongo kama mtu wa mwisho.

Milner, Lucas hawa ni viungo pasee, matip na clyne ndio mabeki halisi katika safu ya ulinzi ya Liverpool..... Unagundua Liverpool ata struggle sana Msimu huu sababu ya depth ndogo kabisa ya kikosi..... Unapokutana na timu yenye washambuliaji wajanja wajanja huku katika back line yako una mabeki wawili tu hao wawili wengine ni viungo tena wa kaliba ya Lucas Leiva ni hatari sana......

Leicester city sijui wamefufukia wapi.... Best performance so far, performance ya ukwaju hii..... Nenda tu Ranier wanaweza kuwa wanafufuka Sasa...... King power stadium walishasahau kushangilia hata Vard mwenyewe pia. Ndindi Bado nakuelewa tu.

King power haijawahi kuwa tamu kwa Mignolet na beki zake...... Sasa Liverpool anaweza kuuziwa ile nafasi king'ang'anizi Bila shaka......

Naulizia bei ya #9 pure kama Lacazete maana ipo siku tutaaibika mbele ya watoto.

Leicester city 3-1 Liverpool
Vard 2
Drinkwater
Coutinho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom