Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu kumekucha ...tumshukuru aliye juu

Baba na mama mchungaji wanatuletea magazeti
36efab013e2c8c356701275d74aabe67.jpg
1965c444c58e091f03980a4cefb4873f.jpg
89a413aff89968e60834d4b2dc01d97b.jpg
dd66907799419015a7ba033b85612631.jpg
d2b5d3d5c28c9110d7e0052349aa5cd2.jpg
01992f287e5ad1bc3f466c0b2314b945.jpg
c91f33ab15498b7351e63f58035691a8.jpg
776e37b30dadb05e080762b0e1e860aa.jpg
Ubarikiwe Lee. Empire
 
Naamini mmeamka salama Na Mungu anazidi kutuonesha Upendo wake,Neema zake Na fadhili zake kwetu zinaendelea kuwa tele... Namwomba Mungu mwenyezi azidi Kutubariki,kutulinda na kutuongoza katika kila Jambo wagonjwa Mungu awaponye,wenye changamoto zozote Mungu awape wepesi Na kutupa suluhisho Na Matumaini tubarikiwe kazi zetu ziwe njema tuwe Na raha moyoni Na kujazwa shukurani...Mbarikiwe wapendwa Makapuku Mfanikiwe.....Siku njema kwenu woteeee
Mama wetu mpendwa tunashukuru kwa maneno yako hakika kapuku tunafarijika sana ...
 
1986 - Rais Ferdinand Marcos wa Phillipines anakimbia Nchi hiyo mara baada ya maandamano makubwa mitaani yaliyojulikana kama People Power Revolution. Alikaa madarakani miaka 20.

Corazon Aquino anakuja kuwa Rais wa kwanza mwanamke nvhini humo.
 
1981 - Ji Sung Park anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Man Utd , Qpr na PSV Eindhoven na timu ya taifa ya Korea Kusini.

Mchezaji mwenye mafanikio zaidi kutoka bara la Asia baada ya kushinda jumla ya vikombe 19 katika carrer yake.

Ni mchezaji wa kwanza kutoka Asia kushinda taji la Uefa Champions League, Fifa Club World cup.

Alisifika zaidi kwa kupafomu kwenye mechi ngumu na kubwa.

Andrea Pirlo anadai kuwa mtu pekee aliyekuwa anajua kumkaba na asiyependa kukutana nae uwanjani ni Js Park.

Kwasasa ni balozi wa Man Utd.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom