Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1983 - Eduardo Da Silva anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Shaktar Donetsk na timu ya taifa ya Croatia.
Ni mzaliwa wa Brazil aliyeamua kuchezra Croatia.
Akiwa Arsenal alivunjika mguu wake vibaya kiasi cha kukaa nje kwa muda mrefu sana.

.....mida basi!!!