Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Pamoja sana.Asante Musollin kwa Historia
Pamoja sana.Asante Musollin kwa Historia
Pesa ilimgharimu. Alikuwa ni mlevi sana.![]()
![]()
Shushushu kanjanja
.....
1987 - Sergio Romero anazaliwa.
Golikipa wa Man Utd na timu ya taifa ya Argentina.
Watu wabaya sana.![]()
![]()
![]()
Rais wa maisha halafu watu wabaya sana wamempindua
....
1943 - Hans Scholl na ndugu yake Sophie Scholl ambao walikuwa ni wanaharakati, wanauwawa kwa kunyongwa na utawala wa Kinazi huko Ujerumani.
2002 - Chuck Jones anafariki Dunia.
Alikuwa ni producer wa katuni maarufu ya Tom and Jerry.
Nami pia nimewamis mnooo ,tupo pamoja ubarikiwe, asante kwa upendoBlessedHope nilikua nimekumiss mwenzio
Asante sana kwa historia ,inakumbusha mengi Na nimejifunza mengi leo.LEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, muwe na siku njema.
Tanteee bibie nimefurahNami pia nimewamis mnooo ,tupo pamoja ubarikiwe, asante kwa upendo
Asante MkuuTanteee bibie nimefurah
Haaahaaa shemela asante sana![]()
![]()
![]()
![]()
Morning kama nimekosea mtanisamehe mana siyo kazi yangu
Ila alitisha sana enzi zake2002 - Kiongozi wa waasi nchini Angola, Jonas Savimbi anauwawa.
Aliuwawa baada ya mapambano makali kati yake na majeshi ya Serikali ambapo Savimbi alipigwa risasi 15 kichwani na kifuani hali iliyopelekea kupoteza maisha papo hapo.
Alikuwa kama ndo mwenye timu1984 - Branslav Ivanovic anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea ambaye anakipiga klabu ya Zenit St Petersburg .
Ametwaa Uefa champions league, Europa League, EPL, FA Cup akiwa na klabu ya Chelsea.
Asante dikteta kwa leo katika historiaLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, muwe na siku njema.
Mmh shemela mbona umefurahi hivyoHaaahaaa shemela asante sana
Umefanya kazi ya Lee vizuri sanaMmh shemela mbona umefurahi hivyo
kwahyo sijakosea shemelaUmefanya kazi ya Lee vizuri sana
Hujakosea shemelakwahyo sijakosea shemela
santee shemela mwenye kazi yake ataendelea keshoHujakosea shemela