Makapuku Forum

Makapuku Forum

1986 - Mapinduzi ya umma dhidi ya Serikali ya Philippines yaanza nchini humo kwa siku tatu na kufanikiwa kumuondoa Rais Ferdinand Marcos.

Mapinduzi hayo yalijulikana kama People Power Revolution. Pia hujulikana kama Philippines Revolution of 1986.
0085595e5d3293bc2794e3368bd898e7.jpg
5d53df2630d3f1edbf09f514a78fec16.jpg
e7ba67df2bcc8fcd82a57b15fce55c42.jpg
 
1969 - Brian Laudrup anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Ac Milan, Bayern Munich, Chelsea, Ajax na timu ya taifa ya Denmark.

Alikuwa ni straika, winga aliyeshinda ubingwa wa ulaya mwaka 1992 akiwa na timu ya taifa ya Denmark.

Pia alitwaa ubingwa huo kwa ngazi ya vilabu akiwa na Ac Milan mwaka 1994.

Pia kaka yake Michael Laudrup alikuwa ni mchezaji waliecheza nae pamoja.
 
1994 - Wakala wa CIA, Aldrich Ames na Mkewe wanashtakiwa na Serikali ya Marekani kwa kosa la kukubali kuuza siri za Nchi hiyo na kufanya kazi shirika la Ujasusi la Urusi KGB.

Aldrich Ames baada ya miaka 31 ya utumishi wake ndani ya CIA alijikuta akiwa " Double Agent " wa KGB jambo ambalo ni kosa la jinai.

Kwasasa anatumikia kifungo cha Maisha katika gereza lenye ulinzi mkali la Allenwood.
d1ae674d77a886e06e960d3ee2dab4c7.jpg
7b206a42965e4bdec761f1803eea02a2.jpg

Shushushu kanjanja
.....
 
1921 - Jean Bedel Bokassa anazaliwa.

Kiongozi wa zamani wa Afrika ya kati ambapo alikuwa ni Rais wa Pili wa Nchi hiyo.

Alikuwa ni dikteta aliyejitangazia Urais wa Maisha katika Nchi hiyo.

Alipinduliwa mwaka 1979 kwa msaada wa Majeshi ya Ufaransa.

Alifariki mwaka 1996.
83b5ab5bf69b43b303f0d6f90220371c.jpg
67304df4fab14ae380312069e25e5d3f.jpg
6c2c3ad217af1fcabdb2f92d63bebf6c.jpg

Rais wa maisha halafu watu wabaya sana wamempindua
....
 
1969 - Brian Laudrup anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Ac Milan, Bayern Munich, Chelsea, Ajax na timu ya taifa ya Denmark.

Alikuwa ni straika, winga aliyeshinda ubingwa wa ulaya mwaka 1992 akiwa na timu ya taifa ya Denmark.

Pia alitwaa ubingwa huo kwa ngazi ya vilabu akiwa na Ac Milan mwaka 1994.

Pia kaka yake Michael Laudrup alikuwa ni mchezaji waliecheza nae pamoja.
59f44f35d765b69ed45ea90ee0578480.jpg
b2da5c9af65f531c51cc8c92eca6aa33.jpg
bda27e0593ff8f2009357d54176fe123.jpg

Denmark zamani ya akina Schmeixhel ulikuwa noma
....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom