Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Thanx mkubwa, yaan watu wa humu nawaona kama familia yangu mpya.. Nataman siku moja tuonane japo kwa pichaPamoja mkuu! Pole kwa yaliyokusibu.
Thanx mkubwa, yaan watu wa humu nawaona kama familia yangu mpya.. Nataman siku moja tuonane japo kwa pichaPamoja mkuu! Pole kwa yaliyokusibu.
Karibu sana mkuu!Thanx mkubwa, yaan watu wa humu nawaona kama familia yangu mpya.. Nataman siku moja tuonane japo kwa picha
Baby akee! Asantee kwa yale mambo ya asubuhi...Jamani hapa mko poa
Baby akee! Asantee kwa yale mambo ya asubuhi...
hny bwana unawafaidisha watu ujue wakintongoza shaur yakoOmbea tuwe tunashinda kila sikuIla mpaka mshinde ndo unipe vitu mubashatiiii!![]()
Thanks, nyie ni familia kabisa kwangu japo nilipo sina familia, nikiwa mpweke naingia humu najiona nipo na familia yanguKaribu sana mkuu!
Kukutongoza lazima manake wewe ni kisuu...![]()
hny bwana unawafaidisha watu ujue wakintongoza shaur yako
Thubutuuuu!Ombea tuwe tunashinda kila siku


! Kwanza Mungu hawezi kupokea sala kama hizo..! Kila siku mshinde?Karibu sana! Its matter of time zone..!Thanks, nyie ni familia kabisa kwangu japo nilipo sina familia, nikiwa mpweke naingia humu najiona nipo na familia yangu
Hahahah Yesu hapa sina mtuKukutongoza lazima manake wewe ni kisuu...
Yaani wakifanya hivyo ina maana nilichagua kisuuuu!
Though kukuchukua wasahau ! Ushalogeka kwa jombaa hapa.
Ushaanza ss leo hupatiThubutuuuu!! Kwanza Mungu hawezi kupokea sala kama hizo..! Kila siku mshinde?
Ila una mume! Thats sounds great!Hahahah Yesu hapa sina mtu
Pole mkuu utaja pata tu usijali hapa tupo kama ndugu mbonaThanks, nyie ni familia kabisa kwangu japo nilipo sina familia, nikiwa mpweke naingia humu najiona nipo na familia yangu
Tupe v2 the akili kubwa dikteta musolinLEO KATIKA HISTORIA:
1965 - Malcolm X anauliwa kwa kupigwa risasi.
Alikuwa ni mwanaharakati kutoka Nchini Marekani.
MuoneIla una mume! Thats sounds great!
Ahsante shemeji, sina kaka ila sasa hv napta wa kuita shemejiPole mkuu utaja pata tu usijali hapa tupo kama ndugu mbona