Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
1972 - Richard Nixon anatembelea Nchini China na kuimarisha Uhusiano wa Nchi hizo mbili.
Usiende huko basii!Kwan ww Manyau cjui Chelshit unawajua
Eer! Aje yeyote apa Jf akawanie jimbo kama atanitoa!Mwambie mbona hajiamini huyu jaman
Ananishawishi protest huyu.... Ngoja nimvutie pumzi kwanzaMwambie mbona hajiamini huyu jaman
Big up man.1975 - Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Marekani, John N. Mitchell anahukumiwa kifungo Jela kufuatia skendo ya Watergate.
1972 - Richard Nixon anatembelea Nchini China na kuimarisha Uhusiano wa Nchi hizo mbili.
Oooh! Live long my comrade!1924 - Robert Mugabe anazaliwa.
Ni rais wa pili na wa sasa wa Zimbabwe ambaye amekaa Madarakani kwa muda mrefu sana.
1975 - Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Marekani, John N. Mitchell anahukumiwa kifungo Jela kufuatia skendo ya Watergate.
1924 - Robert Mugabe anazaliwa.
Ni rais wa pili na wa sasa wa Zimbabwe ambaye amekaa Madarakani kwa muda mrefu sana.
1974 - Ivan Campo anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Bolton Wanderers.
Alitwaa ubingwa wa ulaya akiwa na Real Madrid Mara mbili.
Ni 93 mkuuOooh! Live long my comrade!
Mugabe leo kafikisha 94 kama sikosei
Kale kababu basi tu1924 - Robert Mugabe anazaliwa.
Ni rais wa pili na wa sasa wa Zimbabwe ambaye amekaa Madarakani kwa muda mrefu sana.
1979 - Pascal Chimbonda anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Tottenham, Blackburn.
Alikuwa ni beki wa kulia.
Immortality lies not in the things you leave behind, but in the people your life has touched.Douh! The living man...! The living thoughts...
His efforts makes the oppresed as if they are living with him..