Ulinambia ata juzi ...kwa hiyo wanakukomoaa ? Hivi yule wa nyumba t pili kushoto kuelekea kusin kulia mtaa wa pili kutoka kwako kama unaifata nyumba ya jirani yako shululu ashaacha tabia yake ya kufungulia MZIKI mnene usiku wa manane ..??
Yaaani ni full undumi la kuwili..natamani sometimes wapigwe tuu...Bwanabwanaaaah ....inapendeza sana ngoja wafumuliwe sasa ndo utajutaa


Habar za asubuhi wakuu nadhan nyote wazima
Nawatakia siku njema
Nzuri kabisaa mkuuSalama za leo?
Lakini bhinamu yawezekana hataki muwe mnasikia anachokifanya ?? Make unakumbuka tulivotoka kupiga kilaji Siku ile nkaogopa kwenda kwa aunt yako nkaupunyua kwako na umeme ukakatika ..vile vita tuliyosikia ndani kwanza kile kisauti mpaka ukakimbilia maliwatoLoh, aache wapi anko, sasa kazidi, anawasha na jenereta kabisa,ukimuuliza anasema linasaidia kufukuza mbu🙁! au inaweza kuwa kweli eeh🙄

Mdogo wangu upo?Nzuri kabisaa mkuu
Ahaaaaaaah na akikufanyia vurugu zake ??Yaaani ni full undumi la kuwili..natamani sometimes wapigwe tuu...
Kwenye ligi wapigwe tuu nitapasha maji mwenyewe![]()
Nipo brother naona umepotea sanaMdogo wangu upo?
Mkuu! Nilikuwa busy na mission fulani..! Imefikia 90% naimaliza!Nipo brother naona umepotea sana
Lakini bhinamu yawezekana hataki muwe mnasikia anachokifanya ?? Make unakumbuka tulivotoka kupiga kilaji Siku ile nkaogopa kwenda kwa aunt yako nkaupunyua kwako na umeme ukakatika ..vile vita tuliyosikia ndani kwanza kile kisauti mpaka ukakimbilia maliwato![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aah mm nipo nipo tu around ila siku zilizopita nilikua na matatizo but now am good tutakua pamoja bro mkubwaMkuu! Nilikuwa busy na mission fulani..! Imefikia 90% naimaliza!
I will be frequently available.
Vurugu zake ni yeye huwa hataki chakula..mara hakuna kale kamchezo..Ahaaaaaaah na akikufanyia vurugu zake ??
Pamoja mkuu! Pole kwa yaliyokusibu.Aah mm nipo nipo tu around ila siku zilizopita nilikua na matatizo but now am good tutakua pamoja bro mkubwa
Bhinamu bhinamu ,sawa uliniachia kwa mda ila bhinamu wewe si ulikuwa na apoitiiiimentiiii na kale ka modooo ....mm nilituliaa nkaamukia ofisinUliniambia nikuachia room una mgeni mubashara, nikaondoka nikaenda kwa yule jirani yangu singoledi
C.C Shunie kwa taarifa.(mkazo kwa nilipobold auntie)
Nina salamu zakooAah mm nipo nipo tu around ila siku zilizopita nilikua na matatizo but now am good tutakua pamoja bro mkubwa
