Makapuku Forum

Morning Makapuku, tuwe na siku njema
funny-happy-tuesday-clipart-1.jpg
Buinamuuu uko poa
 
Nipo poa sana mjombaangu, sema tu kunguni wamevamia majirani zangu, hawalali na wananinyima usingizi kwa makelele.
Siku njema anko
Ulinambia ata juzi ...kwa hiyo wanakukomoaa ? Hivi yule wa nyumba t pili kushoto kuelekea kusin kulia mtaa wa pili kutoka kwako kama unaifata nyumba ya jirani yako shululu ashaacha tabia yake ya kufungulia MZIKI mnene usiku wa manane ..??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom